News

Zaidi ya watu 30 wameuawa katikati mwa Nigeria kwenye maeneo ambako kawaida jamii za wakulima na wafugaji hushambuliana wakiwania udhibiti wa ardhi. Gavana wa jimbo la Benue, Ormin Torsar Victor ...
Watu 13 wameuawa kufuatia mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine, wakati Kiev na Moscow zikimaliza mabadilishano makubwa kabisa ya wafungwa tangu vita baina yao vianze. Maafisa wa Ukraine ...
Nchi inakabiliwa na mzozo wa chakula ambao haujawahi kushuhudiwa: karibu watu milioni 28 wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula, idadi ambayo haijawahi kufikiwa na ambayo inaendelea kuongezeka.
Watu zaidi ya 30 wameuawa, baada ya kutokea kwa mashambulio mawili, katikati ya nchi ya Nigeria, eneo ambalo ni makaazi ya wakulima na wafugaji. Mashambulio hayo yametokea katika vijiji vitatu ...
Kampuni ya usalama wa mtandaoni ya Marekani ya Proofpoint inaripoti kwamba idadi ya baruapepe za ulaghai zinazowalenga watu nchini Japani imeongezeka kwa kiasi kikubwa. Inasema programu za ...
Takriban watu 12 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa kote Ukraine katika mashambulizi ya usiku ya ndege zisizo na rubani na makombora, maafisa wa kanda na huduma za dharura wamesema. Abdalla ...
Kiwango cha kweli cha mgogoro huu kinasalia kuwa kigumu kuainisha, kwani huduma zinabaki kuwa chache na watu wanakabiliwa na vizuizi katika kutafuta matibabu au kuzungumzia shida zao. Hata hivyo ...
MJADALA kuhusu nafasi ya elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo rasmi, pamoja na mustakabadhi wake kwa maendeleo ya jamii na taifa umefanyika hivi karibuni, ukihusisha wataalamu 450 wa ‘elimu bila ...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amemwomba Rais Samia Suluhu Hassan, kutumia mamlaka yake kwa mujibu wa Sheria ya Uchunguzi Mahsusi ya Mwaka 2019, kuunda Tume ...
Inadaiwa kuwa Mei 24, 2025, Dk Mollel alikuwa na mkutano na wenyeviti wa vijiji na vitongoji wilayani humo ambapo kulionekana watu waliodaiwa ni kutoka kwenye vyombo vya usalama na yeye kusikika ...
Taarifa iliyotolewa jana Mei 28, 2025 na Inspekta Jenerali wa NPS, Douglas Kanja Kirocho, imesema watu watatu zaidi ambao walishiriki mwanzo mwisho katika kupanga na kutekeleza tukio hilo wamekamatwa ...