Mwanzo wake, Chris alipewa dawa kwenye sherehe, lakini miezi michache baadaye ndipo alianza kuitafuta zaidi na kukutana na watu ambao walikuwa wakitumia dawa hizo za kulevya. Anasema mwanzoni ...
Kula ukitazama TV lilianzia Marekani mwanzoni mwa karne ya 20. Watu walikua wanaangalia picha za kukaa kwenye kochi na kuangalia TV huku watu wakila vyakula vilivyosindikwa na vilivyojaa chumvi ...
You can now play an even larger range of puzzles on our site, every weekday and now also every Saturday. Check out our brand new puzzles below, from Hangman to Add Up and even a Jigsaw. Of course ...
WATU 700 wamepatiwa huduma za uchunguzi wa magonjwa ya moyo katika maonesho ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika jijini Arusha. Huduma hizo zilitolewa kwa muda wa siku saba katika ...
Katika juhudi za kukabiliana na mila potofu, imani zisizo sahihi na ushirikina unaodhuru watu wenye ulemavu, wadau wametoa wito kwa serikali kuhakikisha inakamilisha mchakato wa kuridhia Itifaki ya ...
Unyang’anyi huo hufanywa na watu wanaojulikana vishandu, ambao mara nyingi hutumia bodaboda kukwapua na kutokomea kwa kasi kwenda kusikojulikana. Kwa mujibu wa wakazi wa jiji hilo, unapokuwa mitaani ...
siku hiyo kwa kuwa siku zimepita na kupotea kwa watu wa tatu si jambo la kawaida. "Aliponihakikishia kuwa jalada litafika kwa OCD siku ambayo amechukua maelezo hivyo niliamua kumpigia simu jana ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results