(Mirror) Wakala wa mshambuliaji wa Argentina Julian Alvarez anasema Liverpool ilimtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 kabla ya kujiunga na Atletico Madrid kutoka Manchester City msimu uliopita.
Unguja. Wizara ya Afya ya Zanzibar kupitia Wakala wa Bohari ya Dawa, imeingia mkataba na Kampuni ya Hainan International Limited kwa ajili ya ujenzi wa ghala la kisasa la kuhifadhia dawa na vifaatiba.