News

Mchungaji huyo amesema watu hao walimwambia alale chini wakamkanyaga shingoni, mmoja akawaambia wenzake wanamuachaje hapo.
Mchome amekutana na kadhia hiyo kipindi ambacho amekuwa na migogoro na chama chake hasa baada ya barua ya malalamiko dhidi ya ...
Mwanza. Polisi mkoani Mwanza limemuachia kwa dhamana Diana Bundala maarufu ‘Mfalme Zumaridi’ huku uchunguzi dhidi ya tuhuma ...
Mdude alivamiwa na kupigwa nyumbani kwake mtaa wa Iwambi jijini Mbeya na watu wanaosadikiwa kuwa Askari Polisi tangu Mei 2, ...
Mwenda, mkazi wa Mbagala anadaiwa kushirikiana na mtoto wake wa kiume, kumuua Beatrice Magombola, ambaye ni binti yake wa ...
Mkuu wa Shule hiyo, Oscar Mwaihabi amesema shule hiyo imekuwa na matokeo mazuri kwani mwaka 2024 kidato cha sita kimekuwa na ...
Baadhi wamekwenda mbali zaidi na kusema, pamoja na kutoonekana majukwaani, hakuonekana hata katika msiba wa Makamu wa Kwanza ...
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi na Mama Maria Nyerere, mke wa hayati Baba wa ...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atakuwa mgeni rasmi katika kilele maadhimisho ya siku ya kimataifa ya nyuki, huku wakazi wa ...
Tayari wawakilishi kutoka mataifa mbalimbali ya barani Afrika, wakiwemo mawaziri wa afya ambao watapiga kura, tayari ...
Warufani hao walikamatwa Machi 20, 2022 na kufikishwa Kituo cha Polisi Uvinza na kwa mujibu wa ushahidi walipaondika maelezo ...