Takriban watu 50 wamefariki dunia nchini Kenya baada ya bwawa kuvunja kingo zake kufuatia mvua kubwa na mafuriko, afisa wa shirika la msalaba mwekundu amesema. Watu katika vijiji karibu na Mai ...